Habari Mseto

Ghorofa yaporomoka mtaani Tassia

December 6th, 2019 1 min read

Na OUMA WANZALA

INAHOFIWA watu kadhaa wamenasa katika vifusi vya ghorofa iliyobomoka na kuporomoka mtaani Tassia, Embakasi jijini Nairobi.

Kufikia sasa, mwanamke na mwanawe na vilevile mwanamume wameokolewa huku wengine wakiwa bado wamenasa.

Sababu ya mkasa huo haijabainika.