• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Mshukiwa wa sakata ya Kimwarer na Arror abambwa JKIA

Na CHARLES WASONGA WAPELELEZI kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walimkamata Mkurugenzi wa Ukusanyaji Rasilimali katika Hazina ya...

Mabwawa: Hatua ya Rais yachemsha ngome ya Ruto

EVANS KIPKURA Na STANLEY KIMUGE VIONGOZI wa Kaunti ya Elgeyo Marakwet, wamemlaumu Rais Uhuru Kenyatta kwa kufutilia mbali ujenzi wa...

‘Akaunti za kampuni katika kesi ya Kimwarer na Arror zifungwe’

Na RICHARD MUNGUTI AKAUNTI za kampuni mbili zilizohusika katika kashfa ya mabwawa ya Kimwarer na Arror zimefungwa. Hakimu Mkazi, Bi...

Rotich na wenzake wabebe misalaba yao – Viongozi Kimwarer

Na BARNABAS BII VIONGOZI kutoka eneo la Kerio Valley ambapo mabwawa ya Arror na Kimwarer yalifaa kujengwa wanataka watu walioshtakiwa...

UFISADI: Rotich atumbukia bwawani

Na VALENTINE OBARA SAKATA ya mabwawa ya Arror na Kimwarer katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet, Jumatatu ilimtumbukiza Waziri wa Fedha,...

SAKATA YA MABWAWA: Mbadi awataka Ruto na Murkomen kujiuzulu

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa John Mbadi sasa anamtaka Naibu Rais William Ruto kujiuzulu mara moja...

Rotich kung’olewa afisini baada ya kushtakiwa

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Henry Rotich na maafisa wengine wa serikali ambao watafikishwa mahakamani Jumanne kwa tuhuma za...

Vitimbi vya ‘Kamata Kamata’ vyarudi Rotich akibambwa

Na WAANDISHI WETU IDARA ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) Jumatatu ilirejelea shughuli zake za kukamata washukiwa wa ufisadi, almaarufu kama...