• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Mulomi atangaza azma yake kurithi kiti cha Ojaamong

Na KNA NAIBU Gavana wa Kaunti ya Busia, Bw Moses Mulomi (Pichani), ametangaza azma yake ya kugombea ugavana kumrithi Gavana Sospeter...

Ruto awarai vijana kutotumiwa kuzua ghasia

SHABAN MAKOKHA na WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto mnamo Jumamosi aliwarai vijana kutowaruhusu wanasiasa kuwatumia kuzua ghasia...

Fahali anayeenda haja chooni kama binadamu azua hofu kwa wakazi wa kijiji cha Nanjeho

Na SAMMY WAWERU WAKAZI wa kijiji cha Nanjeho, eneobunge la Matayos, Kaunti ya Busia wanaishi kwa wasiwasi kutokana na ng’ombe mwenye...

Polisi adaiwa kuua mwanafunzi kwa kukosa kuvalia barakoa

Na SHABAN MAKOKHA HUZUNI ilitanda Jumamosi katika kijiji cha Kajei Enyuru, Kaunti ya Busia baada ya polisi kumpiga risasi na kumuua...

Vituo mbalimbali Busia vyakabiliwa na upungufu wa damu katika hifadhi zao

SHABAN MAKOKHA na SAMMY WAWERU VITUO vya afya katika Kaunti ya Busia vinakabiliwa na hali ya upungufu wa damu katika hifadhi baada ya...

Gavana kujitetea kwa ufujaji wa pesa za kaunti

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Nairobi Ijumaa ilimpata na kesi ya kujibu Gavana wa Busia, Sospeter Ojaamong. Hakimu Mkuu Douglas...

Ukosefu wa ukaguzi wa kina mpakani Busia waibua hofu

NA CAROLINE WAFULA Hofu imezuka baada ya kubainika kwamba ukosefu wa ukaguzi wa watu katika mpaka wa Busia umepelekea watu wawili...