Gideon afichua jinsi Ruto alivyomcheza kisiasa

MWENYEKITI wa chama cha Kanu Gideon Moi amemshutumu Rais William Ruto kwa kumdanganya na kukiuka makubaliano yao ya kisiasa, akisema alijitolea kwa manufaa ya serikali lakini baadaye akatelekezwa na kuanza kushambuliwa pamoja na familia yake. Akizungumza nyumbani kwake Kabarak, Kaunti ya Nakuru, Ijumaa, Bw Moi alisema alimwamini Rais na kukubali kufanya kazi naye kwa heshima … Continue reading Gideon afichua jinsi Ruto alivyomcheza kisiasa