• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM
Mwanawe Uhuru apinga serikali kumpokonya silaha

Mwanawe Uhuru apinga serikali kumpokonya silaha

NA SAM KIPLAGAT

KIJANA mkubwa wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, Bw John Jomo Kenyatta amewasilisha kesi katika Mahakama Kuu kupinga mpango wa serikali kumpokonya leseni ya kumiliki bunduki.

Katika wasilisho lake, Jomo anasema haki zake za kikatiba zinakiukwa kesi yake isiposhughulikiwa haraka upesi.

  • Tags

You can share this post!

Azimio wawaenzi waandamanaji waliouawa, kujeruhiwa na polisi

MCA ashtakiwa kwa uchochezi wa maandamano

T L