• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

KMC yabadili sheria ya kununua mifugo katika kaunti kame

Na STANLEY NGOTHO USIMAMIZI wa Kiwanda cha Nyama nchini (KMC) umebadilisha sheria ambayo imekuwa ikitumiwa kuwanunua ng’ombe kutoka...

Serikali yatoa Sh450 milioni zaidi ya kuiokoa mifugo

Na WINNIE ONYANDO MPANGO wa serikali wa kuiokoa mifugo katika kaunti zilizoathiriwa na janga la ukame utaendelea, baada ya kutoa Sh450...

Vilio serikali inunue mifugo iliyo hatarini

GEOFFREY ONDIEKI na KNA WAFUGAJI katika maeneo mbalimbali nchini wamelilia serikali kununua mifugo yao ili kuepuka hasara.Katika Kaunti...

Wafugaji watishia kususia misaada wasipopewa pia lishe ya mifugo yao

Na KALUME KAZUNGU JAMII za wafugaji katika maeneo ya Pwani zimeitaka serikali iharakishe kutuma lishe ya msaada kwa mifugo yao, huku...

Maafisa wapata ng’ombe kadhaa walioibwa kutoka Nakuru wakasafirishwa hadi Kakamega

Na RICHARD MAOSI MAAFISA kutoka Kituo cha Polisi cha Kaptembwo, wamefanikiwa kupata sehemu ya mifugo 26 ambayo ilikuwa imeibiwa kutoka...

Wezi wa mifugo sasa wageukia teknolojia kuiba, kuhepa polisi

BARNABAS BII Na FLORA KOECH Majangili katika maeneo yanayoathiriwa na visa vya wizi wa mifugo Kaskazini mwa Bonde la Ufa, wamegeukia...

Wizi wa mifugo wazidi kijijini Ngoingwa

Na LAWRENCE ONGARO WIZI wa mifugo umezidi katika kijiji cha Ngoingwa mjini Thika, huku wakazi wa huko wakitaka serikali kuingilia...

Mifugo Samburu wachanjwa

Na GEOFFREY ONDIEKI [email protected] Serikali imeanzisha kampeni ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa miguu na mdomo katika kaunti ya...

Vijana 100 walioasi wizi wa mifugo watoa msaada wa mbuzi

Na Oscar Kakai ZAIDI ya vijana 100 walioasi wizi wa mifugo na uvamizi kutoka jamii ya Pokot wanaoishi Kaunti ya Baringo, jana...

AKILIMALI: Umuhimu wa kujitengenezea chakula cha mifugo

Na SAMMY WAWERU UWEKEZAJI aliofanya Mhandisi Joseph O. Makolwal katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa, anaokadiria kuwa unaweza kufikia...

Kaunti yafungua soko la mifugo la Nagele

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imefungua rasmi soko la mifugo lililojengwa eneo la Nagele, tarafa ya Witu kwa kiasi cha...

AKILIMALI: Mbinu mpya ya kuhifadhi lishe inayodumu kwa muda mrefu

Na PETER CHANGTOEK KUPATIKANA kwa foda (fodder), na jinsi ya kuzihifadhi, ni miongoni mwa changamoto ambazo wakulima wengi huzipitia...