• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:56 PM

Hofu msitu kugeuka uwanja wa mauti

CORNELIUS MUTISYA Na CHARLES WASONGA MSITU wa Iveti, ulioko katika kaunti ya Machakos unasifika kwa mandhari ya kuvutia yanayotokana na...

WASONGA: Sheria itekelezwe bila kujali hadhi au tabaka

Na CHARLES WASONGA KATIBA pamoja na sheria mbalimbali zinapasa kuzingatiwa na Wakenya wote pasina kujali hadhi au mamlaka katika...

Mjane ndani kwa kukata kuni

Na TITUS OMINDE MAMA wa watoto 16 amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh10,000 baada ya kupatikana na hatia ya...

Wanaswa wakisafirisha magunia 230 ya makaa

NA GERALD BWISA Maafisa wa Huduma za Misitu kutoka kitengo cha upelelezi walikamata malori mawili yaliyokuwa yakisafirisha magunia 230...

Kitendawili cha msitu wa Kirisia Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI [email protected] Maafisa wa polisi kutoka idara ya misitu (KFS) wameanza kubomoa nyumba (manyatta) za...

KFS yaimarisha doria kuilinda misitu

Na MAGDALENE WANJA MAAFISA wa Shirika la Huduma ya Misitu Nchini (KFS) wameshika doria kuilinda misitu ikiwa ni njia ya kukabiliana na...

MBURU: Kutunza mazingira kutasaidia kulkuza amani duniani

Na PETER MBURU Siku ya Amani Ulimwenguni, ni siku yenye umuhimu mkubwa katika kuhakikisha kuwa watu na mataifa yanaishi kwa...

OBARA: Tuwazie upya utunzaji mazingira na ugavi wa ardhi

Na VALENTINE OBARA UAMUZI wa serikali kutimua watu kutoka Msitu wa Mau na sehemu nyingine zilizolindwa ili kutunza mazingira unazidi...

Tobiko aagiza wanyakuzi wote wa misitu wajiondoe mara moja

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imeshikilia msimamo mkali kwamba watu wote wanaomiliki ardhi kinyume cha sheria katika maeneo yote ya Msitu...

ONYANGO: Isiwe Mau pekee, wote wanaoishi misituni watoke

Na LEONARD ONYANGO TANGU serikali kutangaza azma yake ya kutaka kufurusha maskwota kutoka katika Msitu wa Mau, kumekuwa na mjadala mkali...

Wanafunzi wahamasishwa kuhusu upandaji miti

NA RICHARD MAOSI Wanafunzi kutoka shule ya wavulana ya Jomo Kenyatta katika eneo la Bahati kaunti ya Nakuru, wamepanda miche 1,000...

Mwanasiasa, chifu matatani kwa uharibifu wa msitu Murang’a

Na SAMMY WAWERU POLISI Murang'a wanachunguza mwanasiasa anayehudumu katika bunge la kaunti hiyo, wasaidizi wake wawili na ambao...