Muuguzi aliyejaribu kuokoa maisha ya mbunge Ng’eno atuzwa Mashujaa Dei

MUUGUZI Jacobeth Jeptoo ni miongoni mwa Wakenya 264 waliotunukiwa tuzo za heshima wakati wa sherehe za 63 za Sikukuu ya Mashujaa katika Uwanja wa Kipchoge Keino, Eldoret. Walituzwa kutokana na mchango wao katika ukombozi, demokrasia, elimu, uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya taifa. Bi Jeptoo alitambuliwa kwa ujasiri wake wa kuwasaidia manusura wa ajali ya … Continue reading Muuguzi aliyejaribu kuokoa maisha ya mbunge Ng’eno atuzwa Mashujaa Dei