• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Amri watumishi wa umma wafichue mali zao

Na WALTER MENYA WATUMISHI wa umma wamepewa hadi mwisho wa mwaka huu 2021 kutangaza utajiri wao kulingana na ilani iliyotolewa na Tume ya...

Uchaguzi: EACC yataka watumishi wajiuzulu kwanza

FARHIYA HUSSEIN na VALENTINE OBARA TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewataka watumishi wa umma ambao wanaendeleza kampeni...

Boga na Mwashetani washtakiwe kwa wizi wa mahindi – EACC

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wakuu katika Wizara ya Kilimo wakiongozwa na Katibu Hamadi Boga na Mbunge wa Lungalunga Khatib Mwashetani...

Bunge lamwidhidnisha Mbarak kuwa CEO wa EACC

Na CHARLES WASONGA Twalib Mbarak sasa ndiye atakayeshikilia wadhifa wa Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...

EACC: Bunge kuamua ikiwa Mbarak anafaa kuongoza tume

Na CHARLES WASONGA WABUNGE Jumanne watafanya kikao maalum kujadili ripoti ya kuhusu ufaafu wa Twalib Mbarak aliyeteuliwa kwa wadhifa wa...

UFISADI: Afisa mteule EACC afichua alinolewa katika FBI na CIA, Amerika

Na CHARLES WASONGA AFISA MPYA aliyeteuliwa kwa wadhifa wa Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Twalib...