• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 1:08 PM

Anayedaiwa kubaka na kuiba apewa dhamana

NA TITUS OMINDE MSHUKIWA wa ubakaji anayedaiwa kuwaibia na kuwabaka wanawake katika miji ya Eldoret, Kitale, Bungoma jana Jumatano...

Wanafunzi watatu wa Thika School for the Blind ni wajawazito

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kuwalinda wanafunzi walemavu hasa wasioona ili kuwaepusha na changamoto wanazopitia. Afisa mkuu wa...

Msichana akiri kubadilisha vipimo vya mimba kuokoa aliyemnajisi

Na STEPHEN ODUOR Familia moja enee la Tana Delta imeachwa na mshtuko baada ya kugundua kwamba mtoto wao ambaye alikuwa amenajisiwa...

Wazee waozea jela sababu ya kesi za unajisi

Na TITUS OMINDE UNAPOINGIA kwenye uwanja wa burudani wa mahabusu katika gereza kuu la Eldoret unakaribishwa na nyuso za wazee wenye umri...

Ubakaji: Mahakama yanyima 2 dhamana

Na RICHARD MUNGUTI MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu aliyeshtakiwa pamoja na mwanamume anayedaiwa huwabaka wasichana wa vyuo vikuu, wamenyimwa...

SHAIRI: Ubakaji kama makaa

NA ASSUMPTA WAUSI Kungwi ninayo barua, maisha kisulisuli Nicheze yangu gitaa, ujumbe ufike mbali Wifi ,halati bavyaa, mtambue...

Pasta kusubiri Yesu korokoroni

Na GEORGE MUNENE PASTA wa dhehebu la Akorino aliyewanajisi na kuwatunga mimba binti zake wawili wenye umri wa chini ya miaka 18, sasa...

Daktari akana kunyemelea na kubaka mwanafunzi

Na RICHARD MUNGUTI DAKTARI aliyeshtakiwa kwa kumnajisi mwanafunzi wa kidato cha nne aliungama kortini “alivurugana na ndugu ya...

DPP apewa mwezi mmoja kuamua ikiwa atamshtaki upya Wambua

Na Lillian Mutavi Mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos imempatia Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) siku 30 kuamua iwapo...

Mbona mapasta huwabaka waumini?

NA WANGU KANURI BAADHI ya wazazi wamejipata wakijutia mwenendo wa kukosa kuwasikiza watoto wao, hata katika masuala yanayotishia usalama...

Wajane wazee walia kubakwa na vijana usiku

ERIC MATARA na PHYLLIS MUSASIA HOFU imetanda katika eneo la Dundori, Nakuru kufuatia ongezeko la visa ambapo wanawake wajane...

Wakazi wa Kingoro waandamana malalamiko yakiwa ni kuongezeka visa vya ubakaji

Na LAWRENCE ONGARO WANAWAKE wa kijiji cha Kingoro eneo la Gatundu Kaskazini walifanya maandamano wakilalamikia ukosefu wa usalama na...