Idadi ndogo ya wenyeji chuoni yamkera gavana

Idadi ndogo ya wenyeji chuoni yamkera gavana

NA WINNIE ATIENO

GAVANA wa Taita Taveta, Bw Andrew Mwadime amelalamikia idadi ndogo ya wenyeji wa kaunti hiyo wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Taita Taveta.

Akizungumza wakati wa mahafali ya chuo hicho, Bw Mwadime, alisema utawala wake umeweka kipaumbele kwa elimu na wenyeji wanaotaka kusoma katika chuo hicho watasaidiwa ipasavyo.

Wakati huo huo, kaunti hiyo imeanza kusaidia taasisi za elimu ya juu kupata hatimiliki za ardhi zao ili kufanya upanuzi.

  • Tags

You can share this post!

Osoro atetea matamshi ya Naibu Rais kuhusu mfumo wa mashamba

Njaa na Ukame: Baadhi ya wakazi wa Magarini walazimika kula...

T L