Issa Boy azidi kupata ushindani

Issa Boy azidi kupata ushindani

NA SIAGO CECE

IDADI ya wanasiasa wanaotaka kuwania useneta Kaunti ya Kwale imeongezeka, baada ya wakili Salim Mwadumbo kuzindua kampeni zake eneo la Vanga.

Anatarajia kushindania kiti hicho dhidi ya Seneta Issa Boy wa ODM, mwanasiasa Mshenga Ruga na diwani wa Kasemeni Anthony Yama ambao wanatafuta tikiti ya UDA.

Bw Mwadumbo hajatangaza analenga kujiunga na chama kipi.

You can share this post!

Ndoa ya Mudavadi, Ruto yachanganya wawaniaji Magharibi

Base Titanium yaongeza juhudi za kutunza ardhi

T L