Habari Mseto

Jela la Homa Bay sasa laingia corona

August 16th, 2020 1 min read

GEORGE ODIWUOR na FAUSTINE NGILA

Jela la Homa Bay limetajwa kuwa eneo hatari baada ya mahabusu 16 kupatikana na virusi vya corona.

16 hao ni kati ya wale walitangazwa Jumamosi kwenye kaunti kaunti hio, idadi ya juu sana kurekodiwa kwa siku moja huku idadi ya wanaougua corona nchini ikifikia 31,000.

Kituo hicho hakikuwa na kisa chochote cha ugonjwa huo kwa miezi kadhaa kufutia masharti makali kilichoweka kukabili virusi hivyo.

Kutokana na hilo, Kamanda wa Jela la Homa Bay alisitisha ziara za watu wa nje kuingia kituo hicho pamoja na polisi wanowakujia na kuwasindikiza mahabusu.

 

 

 

 

 

 

 

The 16 patients had been charged both locally and in Migori County, which is South Nyanza’s Covid-19 epicenter.

Their samples were collected on Thursday and the positive test results announced on Saturday.