Habari

Jengo laporomoka mjini Kericho

June 9th, 2020 1 min read

Na VITALIS KIMUTAI

WATU kadhaa wanahofiwa kukwama ndani ya vifushi baada ya jengo moja kuporomoka mjini Kericho Jumanne usiku.

Akisema na Taifa Leo, Kamanda wa Polisi katika Kaunti ya Kericho Silas Gichunge alisema zoezi la kuwatafuta na kuwaokoa watu hao linaendelea.

Jengo hilo la orofa tano lilianguka mwendo wa saa moja unusu usiku, polisi wamesema.

Kufikia sasa, haijabainika iwapo kuna watu waliofariki ila sauti za watu wakiomba msaada zilisikika kwenye vi