Habari Mseto

Karua apata pigo katika mahakama ya juu zaidi

August 6th, 2019 1 min read

Na SAM KIPLAGAT

MAHAKAMA ya juu imetupilia mbali rufaa ya Martha Karua ya kupinga ushindi wa Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru na ikazitaka pande hizi mbili kugharimia kesi.

Karua ambaye ni kiongozi wa Narc-Kenya amepata pigo jingine katika jaribio lake la kumng’oa Waiguru kupitia mahakama.

 

Tunaandaa habari kamili…