KASHESHE: Elba aipa shavu KE

KASHESHE: Elba aipa shavu KE

NA SINDA MATIKO

MWIGIZAJI staa Idris Elba ameipa shavu Kenya, akiitaja kuwa moja kati ya sehemu anazozizimia.

Kwenye mahojiano yake na toleo jipya la jarida la Forbes, Elba aliisifia Kenya kuwa nchi bora zaidi Afrika iliyombamba.

“Kenya ni moja kati ya sehemu bomba sana tulizowahi kutalii mimi na mke wangu. Kule ninaweza kusema ni kama nyumbani vile. Zipo fuo za bahari maridadi sana zaidi ya zozote zile tulizowahi kuziona,” Elba na mkewe walifichua.

Kwenye msosi, The Elbas walishauri watu kuzuru hoteli ya Mama Oliech Restaurant na kuagiza msosi wa ugali, samaki aliyeokwa na kachumbari.

  • Tags

You can share this post!

CECIL ODONGO: Jamii ya kimataifa iingilie kati na kufanya...

DOUGLAS MUTUA: Kulazimishia Waafrika ushoga hakika ni...

T L