KASHESHE: Toto ajitetea

KASHESHE: Toto ajitetea

NA SINDA MATIKO

MREMBO anayezidi kufanya vizuri Nikita Kering amefichua mustakabali wa mahusiano yake ikiwa ni siku chache tu baada ya kuvumishwa na madai ya kuwa ni msagaji.

Wiki chache zilizopita, Nikita aligeuka gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha yake sambamba na bendera ya mashoga kisha na maelezo yaliyosomeka”Nina furaha”.

Lakini akiweka mambo sawa, Nikita alisema, “Masuala ya mahusiano kwa sasa ni kizungumkuti kidogo. Nawaza muziki zaidi.”

Na kama kuondoa picha hiyo, alikwenda hatua zaidi na kufichua kuwa Rema ndio krashi wake.

You can share this post!

Kaunti zalilia mabilioni ya uchumi wa baharini

Achani kufuatilia usafishaji wa maji ya chumvi

T L