Habari

KCSE 2019: Shule 10 bora

December 18th, 2019 1 min read

NA MWANDISHI WETU

HATIMAYE matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) wa mwaka huu yametangazwa Jumatano alasiri na Waziri wa Elimu Prof  baada ya watahiniwa, walimu na wazazi kuyasubiri tangu asubuhi.

Prof Magoha alitangaza matokeo hayo baada ya kukutana na Rais Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi Jumatano adhuhuri.

Taifa Leo Dijitali inaorodhesha shule ambazo zinajivunia watahiniwa wengi waliozoa alama ya ‘A’.

       Shule                   Idadi ya waliopata ‘A’

  1. Kenya High -76
  2. Alliance High School – 483
  3. Kapsabet High School – 46
  4. Moi High School Kabarak – 30
  5. Alliance Girls School – 27
  1. Maryhill School – 25
  2. Maseno School – 23
  3. Nairobi School – 23
  4. Mangu High School – 23
  5. Moi Girls Eldoret – 21