KINYANG’ANYIRO 2022: Kaunti ya Kakamega

KINYANG’ANYIRO 2022: Kaunti ya Kakamega

Kakamega ni kaunti nambari 037 iliyo magharibi mwa Kenya.

UKUBWA: Kilomita 3034 mraba

IDADI YA WATU: 1,867,579 kulingana na ripoti ya sensa ya mwaka 2019.

WAPIGA KURA: 841,139

MAENEO BUNGE: Likuyani, Lugari, Malava, Navakholo Lurambi, Shinyalu, Ikolomani, Khwisero, Butere, Mumias Magharibi, Mumias Mashariki, Matungu.

NA BENSON AMADALA

KAUNTI ya Kakamega ina Wadi 60.

Kwa mujibu wa Kenya National Bureau of Statistics, mwaka 2019 ilikuwa ya nne kwa idadi ya watu nchini baada ya Nairobi, Kiambu na Nakuru.

Kabla ya ugatuzi, ilihudumu kama makao makuu ya mkoa wa Magharibi. Hata sasa, mji wa Kakamega ni makao makuu ya polisi na Mshirikishi wa eneo la Magharibi.

Inasifika kwa madhari ya kupendeza kutokana na aina ya kipeke ya msitu wa Kakamega, ambao ni sehemu ya msitu wa mvua wa kitropiki.

Wakazi wa Kakamega hujihusisha na kilimo cha miwa, mahindi na ufugaji wa ngombe wa maziwa.

CHANGAMOTO: Utovu wa usalama kwenye baadhi ya sehemu za kaunti ya Kakamega kutoka na kuchipuka kwa magenge ya vijani yanao jihusisha na uahalifu. Sehemu zilizoathirika ni kama vile Matungu, Shinyalu, Ikolomani na Navakholo.

WAWANIAJI WA UGAVANA

Suleiman Sumba (KANU)

Alikuwa waziri wa Kaunti Kakamega alipostaafu jeshini.
Ana digrii ya Uchumi na shahada ya uzamifu katika usimamizi wa biashara (MBA)
Aligombea ugavana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2017 na kupoteza.

MANIFESTO
Kuinua huduma za afya na kuanzisha kituo cha kutibu wagonjwa wa saratani. Kuinua biashara na miundo msingi.

Cyrus Jirongo (UDP)

Mbunge wa zamani Lugari.

Alizaliwa 1960 (Miaka 62)

Aliwania urais Agosti 8, 2017 akaibuka wa saba na kura 11,282. Kwenye uchaguzi uliorudiwa Oktoba 26, alivuta mkia kwa kupata kura 3,832.

MANIFESTO
Kuimarisha huduma kwa waakaji wa Kakamega na kushugulikia maswala ya afya, miundo msingi na uchumi.

Fernandes Barasa (ODM)

Mgombea ugavana Kakamega kwa tikiti ya ODM Fernandes Barasa. PICHA | MAKTABAAlikuwa mkurugenzi mkuu wa (Ketraco).

Alizaliwa 1974 (Ana umri wa miaka 48)

Ana digrii ya kwanza na ya uzamifu katika Biashara.

MANIFESTO
Kuimarisha afya, elimu, kilimo na miundo msingi.

Jamii za vijijini kupata maji safi. Kila wadi kupokea Sh20 milioni za maendeleo. Kujenga kiwanda cha kutengeneza baiskeli.

Cleophas Malala (UDA)

Seneta wa kaunti tangu 2017.

Amewahi kuhudumu kama mwakilishi wadi kati ya 2013 hadi 2017.

Ni kati ya waliokuwa na utata kuhusiana na shahada yake digrii.

MANIFESTO:

Uimarishaji wa huduma za hospitali. Usambazaji wa maji safi vijijini. Kazi kwa vijana na uboreshaji wa barabara na masoko.

MBUNGE MWAKILISHI WA KIKE

Shiyonga Naomi Masitsa (DAP-K)

Dr Agoi Loice Faith(Kanu)

Lusweti Consolata (ANC)

Muhanda Elsie Bushile (ODM)

Juma Hadija Nganyi(UDA)

Nyangala Lydia Pamela (UDP)

Rose Ayuma Musawa (MDP)

USENETA

Washiko Sammy Oliver Aina (Jubilee)

Dkt Boni Khalwale (UDA)

Patrick Masaviro Butichi (DAP-K)

Dkt Lishenga Brian Makamu (ODM)

Keya Sellah Kadasi (Kanu)

Abuti Winfred Asiko(UDP)

Crispus Kaira Rebuahi (huru)

UBUNGE

MUMIAS MASHARIKI

David Wamatsi –ANC

Benson Mapwoni –UDA

Lucas Radoli – ODM

Peter Kalerwa Salasya – DAP-K

Philip Okomba Sakwa –Huru

Joseph Stanley N Nyarotso –Tujibebe

Paul Makokha Wesonga – Ford Asili

Leonard Musehenge – DP

Samwel Ambrose Makokha- Maendeleo DP

LUGARI:

Alex Cleland Atingo ANC

Bryan Munika Liseche – UDP

Edigar Kisanya Agonya –Huru

Patrick Davy Lihanda – Huru

Lutomia James Luchvia –SAFINA

Isaac Andabwa –DAP-K

Felemon Wanzala Otindo –Huru

Jairus Amukhoye Omaya – PDU

Henry Namiti Shitanda – Huru

Nabwera Daraja Nabii – ODM

Charles Tunga –UDA

Joseph Ogonyo Oburah – Huru

MALAVA:

Ngaira Shitanda –Ford Kenya

Isaac Mudogo Shaviya – UDP

Moses Malulu Injendi – ANC

Caleb Sunguti –DAP-K

Benjamin Nalwa – MDP

Seth Panyako – UDA

Joab B Manyasi – ODM

SHINYALU:

Anami Lisamula Silverse – ODM

Isai Patrick Murenyi Dharsshi –UDP

Ikana Fredrick Lusuli –ANC

Ligambo Ambeyi –Federal Party

Mbakaya Charles F L – Huru

Meja Adrian Mambili – Kanu

Mugali Justus Kizito – DAP-K

Shamalla Oscar Kigen – NRA

Shamia Hilary Mbalilwa – UDA

MUMIAS MAGHARIBI:

Geoffrey M Ambani – NRA

Mohammed E Rashid – UDA

Mwaka Jackline Okanya – ANC

Naicca Johnson Manya – ODM

Oloo Martin Opondo – DAP-K

Wanda Paul Ashiachi –UDP

KHWISERO:

Christopher Aseka Wangaya – ODM

Godfrey Ramoya Kanoti – ANC

NAVAKHOLO:

Vance Paul Udoto – KANU

Edwin Amakobe – Huru

Samuel Wekulo – ANC

Emmanuel Wangwe – ODM

Stanley Waiswa – UD

Livingstone Wawire – Ford Kenya

Joseph Amisi –MDP

Dalmas Nanguo –SAFINA

IKOLOMANI:

Vincent Mukhono –UDA

Yvonne Khamati DAP-K

Benard Masaka Shinali – ANC

Alex Amulyoto –Huru

Butichi Khamisi – ANC

BUTERE:

James Philip Wandahwa – Huru

Martha Shikuku – DAP-K

Michael S Keya – UDA

Valentine Opembe Malika –Jubilee

Nicholas Scott Tindi Mwale – ODM

Ruth Khasaya Oniang’o –UDP

Simon Milimo Omukhulu –Kanu

Habil Nanjendo Bushuru Korokoro – ANC

LURAMBI:

Achieng Eunice Onyango –MDP

Andati Walter Maube –UDA

Khainga Stanley Ominde – ANC

Makokha Denis Mukoya – Huru

Mukhana Titus Khamala – ODM

Vikiru Timothy Bunyali -NRA

MATUNGU:

Were David Aoko – Jubilee

Richard Evrah Masinde –Huru

Buluma Morris Indakwa –MDG

Namunyu Jeremiah Okello – Huru

Lanya Alex Wamukoya – ANC

Abworah Paul Posh –UDA

Nabulindo Peter Oscar –ODM

Achayo Paul Agutu – DAP-K

LIKUYANI:

Kagunza Stanley Ngoseywe – UDP

Kibunguchi Enoch Wamalwa – Ford Kenya

Musungu Evans Isiaho – ANC

Mweresa Joram Ombisa – DAP-K

Mugabe Innocent Maino – ODM

Nabiswa Paul Namasaka – CHAPCHAP

Nganyi Levina Were –UPA

Okoth Jerome Ogola –Huru

Wafula Deberious Sikuku – UDA

  • Tags

You can share this post!

Staa Lewandowski bado yupo Bayern Munich hadi 2023

Arsenal kusajili Gabriel Jesus wa Man-City ili kuziba pengo...

T L