K’Ogalo kusajili staa mmoja tu msimu huu

K’Ogalo kusajili staa mmoja tu msimu huu

Na JOHN ASHIHUNDU

Kocha wa Gor Mahia, Dylan Kerr amesema klabu hiyo itasajili mchezaji mmoja pekee mwezi huu wa kipindi cha wachezaji kuhama.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Kenya (SPL) hawajanunua mchezaji wowote tangu shughuli za timu kubadilisha wachezaji zianze Juni Mosi.

“Nina timu nzuri, lakini tunapanga kumleta mshambuliaji mmo ja tu, raua wa Uganda,” alisema.

Hata hivyo, kocha huyo alisema sio rahisi kupata mshambuliaji anayefaa wakati wa dirisha ndogo la usajili.

Kuna uvumi kwamba huenda mabingwa hao wakamnasa Mganda, Erisa Sekisambu.

You can share this post!

Shakava afurahia kujitolea kwa wenzake licha ya ratiba ngumu

Ingwe wawinda Mnigeria anayesakata Uganda

adminleo