Korti yazima hela za kaunti

Korti yazima hela za kaunti

NA PHILIP MUYANGA

MAHAKAMA Kuu imezuia kwa muda serikali ya Kaunti ya Kilifi kutoa pesa zilizoko kwenye akaunti za ushuru na zile za kuegesha magari.

Jaji Ann Ong’injo alitoa maagizo hayo baada ya kampuni ya Rain Drops Ltd, ambayo imekuwa ikichukua ushuru na kutoza ada za kuegesha magari kuwasilisha ombi.

Rain Drops Ltd inasema akaunti hizo zinafaa kubakia hivyo hadi kesi iamuliwe.

  • Tags

You can share this post!

Wahalifu wavuruga shughuli za kupata riziki vijijini Lamu

Menengai Oilers yafanya mabadiliko 9 ikivizia Homeboyz

T L