Kura moja tu yamwingiza bunge la kaunti

Kura moja tu yamwingiza bunge la kaunti

NA CECE SEAGO

WADI ya Kinango katika kaunti ya Kwale imegonga vichwa vya habari baada ya kura moja kumpa ushindi Bw Richard Itambo kama mwakilishi wadi (MCA) mteule katika bunge la kaunti.

Bw Itambo aliyekuwa akiwania kiti hicho kwa tiketi UDA, alimshinda MCA wa sasa wa wadi hiyo Bw Alfred Bavu wa PAA, kwa kura moja.

Bw Richard Itambo (kati) ambaye ni mwakilishi wadi (MCA) mteule wa Kinango, acheza kayamba kusherehekea ushindi wake. PICHA | SIAGO CECE
  • Tags

You can share this post!

Raila kutumia Sh1.5m kuwasilisha kesi dhidi ya Ruto

Uhuru ashikilia ufunguzi wa Bunge la Kitaifa

T L