Magavana mbioni kukamilisha miradi kabla ya kustaafu

Magavana mbioni kukamilisha miradi kabla ya kustaafu

Na BARNABAS BII

MAGAVANA kutoka North Rift wanaohudumu muhula wa pili, wanajizatiti kukamilisha miradi waliyoanzisha huku ikisalia miezi minane kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ujao.

Magavana Patrick Khaemba wa Trans Nzoia na Jackson Madago wa Uasin Gishu, wanataka kukamilisha miradi waliyoanzisha katika muhula wao wa kwanza na wa pili ili warithi wao wasiwe na mzigo mkubwa.

You can share this post!

TAHARIRI: Polisi waangalie upya mishahara ya maafisa wao

Pombe ya mnazi yaleta dhuluma kwa wasichana

T L