Mahakama yakataa ombi la Waititu kutaka Nyoro asiapishwe

Mahakama yakataa ombi la Waititu kutaka Nyoro asiapishwe

Na RICHARD MUNGUTI

MAHAKAMA Kuu imekataa kusitisha hafla ya kumwapisha James Nyoro kuwa Gavana mpya wa Kaunti ya Kiambu.

Jaji Weldon Korir amesema shughuli ya kumwapisha Nyoro ni suala la mahakama na kamwe hawezi kusitisha.

Aliyekuwa Gavana Ferdinand Waititu Babayao alikuwa amewasilisha kesi akitaka Nyoro asiapishwe.

 

Tunaandaa habari kamili

  • Tags

You can share this post!

James Nyoro sasa kuapishwa rasmi kesho Ijumaa

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Amali bora aipendayo Mwenyezi Mungu...

adminleo