Gachagua: Hatutataja mapema mgombeaji wa kung’oa Ruto, kuepuka kuhujumiwa

WAKENYA watalazimika kusubiri zaidi ya mwaka mmoja ili kujua mgombeaji urais wa upinzani atakayekabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema Jumanne, huku akipuuzilia mbali madai ya migawanyiko katika upinzani. Akihutubia waombolezaji katika mazishi ya Mchungaji Joseph Nzola wa kanisa la Jesus Celebration Centre eneo la … Continue reading Gachagua: Hatutataja mapema mgombeaji wa kung’oa Ruto, kuepuka kuhujumiwa