• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM
JUNGU KUU: Mipasuko yadhihirika katika Kenya Kwanza

JUNGU KUU: Mipasuko yadhihirika katika Kenya Kwanza

Huku Rais Ruto na Bw Gachagua wakishikilia kuwa hawatazungumza na upinzani, Bw Mudavadi anasema njia ya pekee ya kujenga nchi ni kukumbatia mazungumzo kwa nia njema kisiasa.

Bw Gichuki anasema kauli ya Bw Mudavadi alipokuwa akizungumza katika hafla ya Kituo cha Demokrasia ya Vyama Vingi mnamo Alhamisi wiki hii, inaonyesha viongozi wakuu serikalini wamegawanyika kuhusiana na uasi unaoendelezwa na upinzani hasa kwa kuwa Ruto ameapa hatazungumza na upinzani na kupuuza matakwa yao.

Bw Mudavadi ni kiongozi wa tatu kwa ukubwa katika mpangilio wa serikali ya Kenya kwanza na kuwa na msimamo tofauti na wakubwa wake kunatoa taswira ya hali tete katika muungano wa Kenya Kwanza.

  • Tags

You can share this post!

TAHARIRI: Naibu Rais awafichue wafisadi wote

Patashika EPL Arsenal, Man-U wakisaka ubabe

T L