Mhadhiri afichua jinsi Kiswahili kinavyomvunia noti nchini Amerika

NA PETER CHANGTOEK PROFESA David Kyeu ni mwandishi aliyebobea katika Kiswahili na Kiingereza, lugha ambazo zina umuhimu mkubwa katika fani za elimu na mawasiliano kwa ujumla. Aidha, yeye ni mtafiti, na ni mhadhiri ambaye amewahi kufunza katika vyuo vikuu mbalimbali, hususan ughaibuni. Alizaliwa katika eneo la Thika, ambapo wazazi wake walikuwa wakifanya kazi katika kampuni ya … Continue reading Mhadhiri afichua jinsi Kiswahili kinavyomvunia noti nchini Amerika