MALEZI NA LISHE: Aina za vyakula unavyoweza kumpa mtoto mchanga
Na MARGARET MAINA [email protected] KWA miezi sita ya kwanza punde mtoto anapokuwa amezaliwa, huwa anatosheka na maziwa ya mama kwa lishe au hata wakati mwingine maziwa ya kopo kwa wale wasionyonyeshwa. Lakini baada ya muda wa miezi sita na kuendelea, mtoto anahitaji vyakula aina aina na si tu maziwa. Ni hapo ndipo unatakiwa umpatie chakula … Continue reading MALEZI NA LISHE: Aina za vyakula unavyoweza kumpa mtoto mchanga
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed