• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 8:09 PM
MIKIMBIO YA SIASA: Mchujo ndicho kiini cha mipasuko katika ODM

MIKIMBIO YA SIASA: Mchujo ndicho kiini cha mipasuko katika ODM

Lakini duru zinasema kuwa Bw Mbadi hajamsamehe Bw Odinga kwa kumlazimisha ajiondoe katika kinyang’anyiro cha ugavana wa Homa Bay mwaka jana ili ampishe Bi Gladys Wanga.

Hii ndio maana, kwa mfano, Bw Mbadi ameanzisha kumpiga vita Gavana Wanga kuhusiana na masuala kadha yanayohusu kaunti hiyo, kama vile malipo ya mishahara duni ya walimu wa chekechea.

  • Tags

You can share this post!

JAMVI LA SIASA: Hii ndiyo hatari ya Rais Ruto kuandama Uhuru

UJAUZITO NA UZAZI: Ishara za ‘nasal polyps’ kwa mtoto

T L