• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 6:37 PM
MWALIMU WA WIKI: Mwanateknolojia na mwalimu mfia lugha

MWALIMU WA WIKI: Mwanateknolojia na mwalimu mfia lugha

NA CHRIS ADUNGO

MWALIMU anastahili kuwa mwepesi wa kumhimiza mwanafunzi kujitahidi katika safari ya elimu.

Awe karibu na wanafunzi ili ajue changamoto wanazopitia, awasaidie kadri ya uwezo wake na awaamshie hamu ya kuthamini masomo yote.

  • Tags

You can share this post!

Gwiji wa sataranji

St Peters kutegemea CCTV kufahamu kilichosababisha moto

T L