• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 7:20 PM
NASAHA RAMADHAN: Tawbah si kutamka tu kwa ulimi kisha ukaendelea kutenda dhambi

NASAHA RAMADHAN: Tawbah si kutamka tu kwa ulimi kisha ukaendelea kutenda dhambi

NA KHAMIS MOHAMED

TUKIENDELEA na mfungo wetu katika kumi la pili la mwezi mtukufu wa Ramadhan ambalo ni kumi la Maghfira, tukitarajia Mwenyezi Mungu atatusajili katika kitabu chake cha wale walioghufuriwa na kusamehewa.

Katika Kumi hili la pili, inafaa mfungaji ajisogeze karibu zaidi na Mola kwa kuomba msamaha na toba ili avune Msamaha ya Mola kwani Allaah ananyoosha mkono wake usiku kupokea Tawbah kwa aliyekosea mchana, na ananyoosha mkono wake mchana kupokea Tawbah kwa aliyekosea usiku.

  • Tags

You can share this post!

Biashara zaamka baada ya maandamano kupigwa...

Ruto, Raila wajadili kupanda kwa gharama ya maisha –...

T L