• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 8:50 AM
AMINI USIAMINI: Antpitta ni ndege mwenye soni akimwangalia binadamu

AMINI USIAMINI: Antpitta ni ndege mwenye soni akimwangalia binadamu

NA MWORIA MUCHINA

NDEGE wadogo na wenye haya ya kutangamana na watu na wanaoitwa ‘Antpittas’, hutegemea siafu kama chakula chao.

Ndege hao hufuata msafara wa siafu wanaojulikana kama “army ants”, na wakati wadudu na viumbe wengine wanatoroka kwa hofu ya kuvamiwa na siafu hawa, hujipata wakiwa kitoweo cha ndege hawa. Antpitta, ambaye hutaga yai moja hadi sita kwenye kiota chini ya mti, huishi sakafuni mwa msitu akitafuta chakula cha siafu na wadudu wengine.

Ndege hawa wana miguu mirefu na imara kuwawezesha kutembea kwenye mazingira hayo.

  • Tags

You can share this post!

Wanakandarasi Murang’a walia kudaiwa hongo na...

Kiazi moto kwenye mjadala wa Bomas

T L