Wanawake walilia usawa katika Bodi za Mashamba

Na LAWRENCE ONGARO na LEONARD ONYANGO WANAWAKE zaidi ya 100 kutoka kaunti tofauti nchini, Jumanne walikongamana jijini Nairobi ili kujadili maswala mengi yanayowahusu katika maisha yao ya kila siku. Mkutano huo wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake Mashinani ulijadili, pamoja na mambo mengine, masaibu mengi wanayopitia. Wanawake hao walikuwa wakitathmini mambo ambayo wameweza kunufaika nayo … Continue reading Wanawake walilia usawa katika Bodi za Mashamba