Makatibu: Mahakama yatupilia mbali kesi za kupinga bunge kuwapiga msasa watu 51

Makatibu: Mahakama yatupilia mbali kesi za kupinga bunge kuwapiga msasa watu 51

NA RICHARD MUNGUTI

MAHAKAMA ya Kuanua Mizozo ya Wafanyakazi na Waajiri imetupilia mbali kesi za kupinga bunge kuwapiga msasa watu 51 waliopendekezwa na Rais William Ruto kuwa makatibu wakuu wa wizara mbalimbali.

Jaji Mathew Nduma Nderi amesema kesi hizo zingewasilishwa baada ya uteuzi kamili kutekelezwa.

  • Tags

You can share this post!

Viongozi washinikiza Kuria atimuliwe kwa mpango wake wa GMO

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Brazil wakomoa Uswisi na kuingia...

T L