Habari Mseto

Mbunge ashangaa kina mama kuchangamkia harusi kuliko elimu

May 14th, 2024 1 min read

“Harusi ni muhimu lakini elimu ni muhimu zaidi,” alisema, akiwataka wazazi kudadisi namna wanavyolea watoto wao.