Mbunge wa zamani afaulu udiwani Wadi ya Jaribuni

Mbunge wa zamani afaulu udiwani Wadi ya Jaribuni

NA ANTHONY KITIMO

BAADA ya kung’olewa katika kiti cha ubunge Ganze 2017, Bw Peter Safari Shehe, aliamua kuwania udiwani mwaka huu, na kufaulu kushinda.

Bw Shehe, ambaye alitangazwa mshindi wa udiwani Wadi ya Jaribuni, alikuwa mbunge mwaka wa 2013 hadi 2017.

Alisema aliamua kuwania udiwani mwaka huu ili kujiandaa kuwania kiti kingine kikubwa katika miaka ijayo.

Kulingana naye, uamuzi wa kuwania udiwani ulitokana na mashauriano aliyofanya na wakazi.

  • Tags

You can share this post!

Macho yote yaelekezwa Bomas Wakenya wakisubiri kwa hamu...

Walioshindwa ugavana Kwale waungana kuwasilisha kesi...

T L