Habari Mseto

Mkutano wa Ruto Kwale wazimwa

October 8th, 2020 1 min read

NA FADHILI FREDRICK

Maafisa wa polisi Kaunti ya Kwale wamesitisha mkutano wa wafuasi wa Naibu Rais William Ruto uliokuwa uendelee Ukunda Ijumaa.

Hii inajiri siku moja baada ya mkutano wa Naibu Rais wa Harambee kusimamishwa na  kaunti ya Nyamira kufuatia machafuko yaliyoshuudiwa uwanja wa Kebirigo.

Mkutano huyo wa Kwale ulilenga kuunga mkono mgombea wa kiti cha eneo bunge la Mwambeni Feisal Bader  kwenye uchanguzi mdogo utakao fanyika Desemba 15.

Lkini duru za kuaminika zilisema kwamba ilikuwa ni mpango wa kuwaomba wagombea wengine waaachane na kiti hicho na wamuuge mkono mgombea huyo Bw Bader ampane ni binamu aliyekuwa mbungee wa Msambweni Suleimana Dori ilikupambana na mgombea wa chama cha ODM Omar Boga..

Mkutano huyo ulikuwa uudhuriwe na mbunge wwa Kikuyu Imani Ichungwa na aliyekuwa seneta wa Machakos Jonstone Muthama naOmar Hassan.The political meeting was to be attended by Kikuyu MP Kimani Ichungwa and former Senators Johnstone Muthama and  Hassan Omar.

TAFSIRI NA FAUSTINE NGILA