Mseminari ndani kumiliki filamu za ngono

Mseminari ndani kumiliki filamu za ngono

Na RICHARD MUNGUTI

RAIA wa Amerika anayefunza Seminari iliyoko Chuo Kikuu cha St Pauls alishtakiwa Jumatatu kuwa na video za ngono baina ya watoto wa kati ya umri wa miaka mitano na 13 katika laptopu yake.

Polisi nchini Kenya, kwa ushirikiano na wenzao wa Amerika walimfungulia mashtaka Joseph William Black JR, 36, katika Mahakama ya Milimani, Nairobi kwa makosa anayodaiwa kutekeleza Amerika.

  • Tags

You can share this post!

UJASIRIAMALI: Ameunda jina kuwa bingwa wa asali ‘legit’

Kivutha akerwa na naibu wake kuegemea kwa Ruto

T L