Mwanamke anyakwa akiwa na manoti kituoni

Mwanamke anyakwa akiwa na manoti kituoni

NA KNA

MWANAMKE alikamatwa Kilifi siku ya Uchaguzi Mkuu kwa tuhuma za kuwahonga wapigakura katika kituo cha shule ya msingi ya Kibaoni.

Kamanda wa Polisi katika Kaunti, Bw Nelson Taliti, alisema mshukiwa alipatikana na takriban Sh25,000. Sh20,000 zilikuwa ni noti za Sh100 huku Sh5,000 zikiwa noti za Sh50.

  • Tags

You can share this post!

KINYUA BIN KING’ORI: Tumefanya uamuzi wetu kwenye...

VALENTINE OBARA: Mchakato wa kumchagua gavana Mombasa...

T L