Pigo kwa Ottichilo korti ikikataa kuzima kesi

Pigo kwa Ottichilo korti ikikataa kuzima kesi

Na DERICK LUVEGA

GAVANA wa Kaunti ya Vihiga, Wilber Ottichilo, amepata pigo baada ya juhudi zake za kuzuia kesi ya kudharau mahakama inayomkabili, kutupiliwa mbali na Mahakama Kuu.

Kesi hiyo iliwasilishwa na maafisa wakuu wa serikali ya kaunti aliowafuta kazi mwezi Juni.

Mahakama iliagiza warudishwe kazini lakini Dkt Ottichilo alijaza nafasi zao.

You can share this post!

Corona: Wakfu wa Aga Khan watoa msaada

Safari za treni kwa Nyanza, Magharibi sasa zanukia

T L