Ruto awasilisha bungeni majina ya watu 22 aliopendekeza wawe mawaziri

Ruto awasilisha bungeni majina ya watu 22 aliopendekeza wawe mawaziri

NA CHARLES WASONGA

RAIS William Ruto amewasilisha majina ya watu 22 aliowapendekeza kuwa mawaziri.

Miongoni mwao ni kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi ambaye amependekezwa kuwa Kinara wa Mawaziri.

Wengine ambao majina yao yamesomwa bungeni na Spika Moses Wetang’ula ni Mercy Wanjau ambaye amependekezwa kuwa Katibu wa Baraza la Mawaziri na Justin Muturi ambaye amependekezwa kuwa Mwanasheria Mkuu.

  • Tags

You can share this post!

IEBC yatangaza chaguzi ndogo Bungoma na wadi tano nchini

Vivian Nasaka Makokha ajiunga na Hakkarigucu Spor kwa...

T L