HabariSiasa

SAKATA YA NYS: Orodha kamili ya samaki wote waliovuliwa katika ziwa la ufisadi

May 29th, 2018 2 min read

Na VALENTINE OBARA

KUFUATIA sakata ya NYS ambapo Sh9 bilioni zilitoweka katika hali isiyoeleweka, idara ya upelelezi ikishirikiana na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) imewatambua watu na kampuni zilizohusika katika ufisadi huo. Hii hapa orodha kamili ya washukiwa watakaoshtakiwa mahakamani:

Watumishi wa umma

 1. Lilian Omollo – Katibu wa Wizara ya Utumishi wa Umma, Vijana na Masuala ya Jinsia
 2. Richard Ndubai – Mkurugenzi Mkuu, NYS
 3. Sammy Michuki – Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, NYS
 4. Nicholas O. Ahere – Naibu Mkurugenzi Mkuu, NYS
 5. Wellington A. Lubira – Kaimu Mkurugenzi wa Fedha, NYS
 6. Evans Kundu – Aliyekuwa msimamizi wa idara ya ufundi na kitengo cha usafiri, NYS
 7. Peter Waema – Aliyekuwa Naibu Msimamizi wa idara ya ufundi na kitengo cha usafiri
 8. Clement Murage – Aliyekuwa Mhasibu Mkuu, NYS
 9. Peter M. Muritu – Aliyekuwa Supriteni Mkuu, NYS
 10. Rogers Nzioka – Aliyekuwa Mkuu wa Ununuzi katika idara ya ufundi na kitengo cha usafiri
 11. Lucas Owino – Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani, Wizara ya Fedha
 12. Stephen Riungu – Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani, Wizara ya Fedha
 13. Peter Muthomi – Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani, Wizara ya Fedha
 14. George O. Ouma – Aliyekuwa msimamizi wa utendaji, Huduma Centre, NYS
 15. Josphat Njoroge – Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani, Wizara ya Fedha
 16. Humphrey Mbogo – Mhasibu, NYS
 17. Christopher M. Simbauni – Aliyekuwa Mhasibu Mkuu, NYS
 18. Sammy Mbugua – Mkuu wa Uhasibu, Wizara ya Utumishi wa Umma, Vijana na Masuala ya Jinsia
 19. Simon K. Kiiru – Mkuu wa Ununuzi, idara ya ufundi na kitengo cha usafiri
 20. Stephen Manyunzu – Mhasibu
 21. Tabitha Ndungu – Mhasibu
 22. Sophie K. Kinyua – Mtahini
 23. Welenalo Mulupi – Mtunza Ghala, idara ya ufundi na kitengo cha usafiri
 24. Ferdinand M. Odoyo – Mtunza Ghala, idara ya ufundi na kitengo cha usafiri
 25. Wellington Matano – Muidhinishaji wa kwanza
 26. Keziah W. Mwangi – Mfanyakazi, NYS
 27. Stella Biwott – Mfanyakazi, NYS
 28. Timothy K. Rotich – Mfanyakazi, NYS
 29. Jackson A. Juma – Mfanyakazi, NYS
 30. Isaiah Adalo – Mfanyakazi, NYS
 31. David Kirui – Mfanyakazi, NYS
 32. Jamal Duba – Mfanyakazi, NYS
 33. Julius Airo – Mfanyakazi, NYS
 34. Patrick Obunya – Mfanyakazi, NYS
 35. Ezekiel O. Osoro – Mfanyakazi, NYS
 36. Samuel Otieno – Mtengenezaji Bili
 37. Michael Ojiambo – Mkurugenzi wa Usimamizi, Wizara ya Utumishi wa Umma, Vijana na Masuala ya Kijinsia
 38. Stephen Macharia – Mtengenezaji Bili, NYS
 39. Don M. Kariungi – Mnunuzi wa IFMIS
 40. Kenneth M. Mwathi – Mnunuzi wa IFMIS

Wakurugenzi na wamiliki wa biashara

 1. Anne W. Ngirita (pichani)
 2. Phyllis Njeri
 3. Catherine W. Mwai
 4. Antony M. Wamiti
 5. Peter W. Kimani
 6. James Thuita
 7. Yvonne W. Ngugi
 8. Jeremiah Ngirita
 9. Lucy W. Ngirita
 10. Andrine G. Nyambura
 11. Catherine N. Kamuyu
 12. Serah Muguru
 13. Samwel Kanai
 14. James Katululu

Kampuni za kibiashara

 1. M/s Annwaw Investment
 2. M/s Njewanga Investments
 3. M/s Arkroad Holdings Limited
 4. M/s Kunjiwa Enterprises
 5. M/s Ameri Trade Limited
 6. M/s Ngiwaco Enterprises
 7. M/s Jerrycathy Enterprises
 8. M/s Firstling Supplies Limited
 9. M/s Kalabash Food Supplies Limited
 10. M/s Ersatz Enterprises