• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 10:10 AM

Mafuta ya samli ni muhimu kwa afya ya binadamu

NA MARGARET MAINA [email protected] SIAGI inaweza kuwa mojawapo ya aina za mafuta yanayopendwa zaidi kwenye sayari kwa sababu...

LISHE: Faida na manufaa ya mafuta ya kanola

NA MARGARET MAINA [email protected] SISI sote tumezingatia zaidi afya katika nyakati za leo baada ya kutambua ukweli kwamba...

UJAUZITO NA UZAZI: Uvimbe ndani ya pua ya mtoto

NA PAULINE ONGAJI SHIDA ya uvimbe kujitokeza katika sehemu ya ndani ya pua la mtoto husababishia wazazi wengi wasiwasi. Hali hii...

HUKU USWAHILINI: Kuna jibaba huku limeshindwa kumdekeza mke inavyotakikana

NA SIZARINA HAMISI WANAWAKE wanaoishi Uswahilini, huwa wanavumilia mengi kwenye ndoa zao. Kwamba wapo wanaoishi na waume zao kama...

MALEZI KIDIJITALI: Likizo ya dijitali hutuliza watoto

URAIBU wa dijitali umelemea baadhi ya watoto na wataalamu wa malezi wanasema ni kawaida enzi hizi za vifaa bebe. Hata hivyo, wanasema hii...

MAPISHI KIKWETU: Kaimati za mboga

NA PAULINE ONGAJI Viungo unavyohitaji Unga wa ngano, kilo – ½ Maji au maziwa, lita – ½ Sukari, gramu – 200 Siagi,...

PENZI LA KIJANJA: Valentino yabisha hodi huku mapenzi yakiyumba

NA BENSON MATHEKA NI mwezi wa mapenzi na zimebaki siku tisa kuadhimisha Valentine’s Day, yaani siku ya wapendanao na baadhi ya watu -...

Jinsi alivyoanzisha kituo cha michezo kuzuia watoto kuwa waraibu wa simu, vifaabebe

NA MAGDALENE WANJA KATIKA maisha ya sasa, watoto wengi wanatumia muda mwingi kwenye vifaa kama vile simu na tarakilishi ambapo wao...

TEKNOLOJIA: Sifa za kipekee za simu aina ya Tecno Phantom X2

NA WINNIE ONYANDO MNAMO Januari 17, 2023, kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno ilizindua simu mpya aina ya Phantom X2 inayolenga...

MAPISHI KIKWETU: Wali wa kukaanga ulio na halwaridi na mabamia

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji: 3 Vinavyohitajika ...

WASIA WA NDOA: Utafanyaje ndoa ikikosa kuridhisha?

NA BENSON MATHEKA UMEINGIA katika ndoa ukiwa na matarajio makubwa ya kutimiziwa ahadi ulizopatiwa. Mke anasubiri mumewe amweke maisha ya...

FATAKI: Ajabu kuu ‘wife material’ kuwa mwanamke anayevumilia shida pekee!

NA PAULINE ONGAJI BILA shaka umekumbana na lile neno "wife material" ambalo limekuwa likirushwa rushwa huku na kule hasa na...