Serikali kubuni kanuni mpya za kuimarisha uvuvi

Serikali kubuni kanuni mpya za kuimarisha uvuvi

NA WINNIE ATIENO

SEKTA ya uvuvi nchini, inatarajiwa kupigwa jeki baada ya serikali kubuni kanuni mpya.

Kanuni hizo zinalenga kuongeza samaki wanaovuliwa nchini hadi tani 300,000.

Mwenyekiti wa idara ya uchumi wa baharini katika serikalini, Bw Samson Mwathethe, alisema wavuvi watakuwa wakipewa leseni za kati ya miaka mitano hadi ishirini kuvua katika maji makuu.

“Hii inamaanisha wawekezaji watakuwa hawapangi foleni kupata leseni ya uvuvi,” akaeleza.

Waziri wa Kilimo, Bw Peter Munya, alisema kanuni hizo pia zitaongeza nafasi za ajira.

You can share this post!

Wito serikali ifanye kila iwezalo uchaguzi usiyumbishe...

TUSIJE TUKASAHAU: Ruto alikuwa mstari wa mbele wakati...

T L