Serikali yaondoa kafyu ikihimiza raia kutahadhari

Serikali yaondoa kafyu ikihimiza raia kutahadhari

Na DAILY MONITOR

KAMPALA, UGANDA

POLISI nchini Uganda jana Jumanne waliwataka raia kuchukua tahadhari za usalama baada ya serikali kuondoa kafyu iliyodumu kwa miezi 20.

Idara ya polisi ilitoa tahadhari hiyo kufuatia visa kadha vya mashambulio ya kigaidi yaliyoshuhudiwa nchini Uganda mwishoni mwa mwaka 2021.

Mwaka 2021, watu saba waliuawa katika visa vinne vya mashambulio ya mabomu nchini humo.

You can share this post!

Bandari yajiandalia Tusker, mastaa wanne kukosa mechi

Watu 32 wauawa katika shambulio jimboni Jonglei

T L