Habari za Kitaifa

Shakahola: Korti yaagiza washukiwa wapewe taarifa za ushahidi

April 24th, 2024 1 min read

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Shakahola, Paul Mackenzie, na wengine 38 ambao ni wazazi wa watoto waathiriwa waliokolewa kutoka msitu wa Shakahola wako kizuizini katika magereza ya Kilifi, Malindi na Shimo La Tewa baada ya kunyimwa dhamana.

Hakimu Mkuu Nelly Chepchirchir aliamua kesi hiyo itatajwa Mei 2, 2024.