• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM
Mulomi atangaza azma yake kurithi kiti cha Ojaamong

Mulomi atangaza azma yake kurithi kiti cha Ojaamong

Na KNA

NAIBU Gavana wa Kaunti ya Busia, Bw Moses Mulomi (Pichani), ametangaza azma yake ya kugombea ugavana kumrithi Gavana Sospeter Ojaamong.

Bw Mulomi alisema anafaa kwa wadhifa huo na kupuuza wagombeaji wengine kama wasiojali maslahi ya wakazi wa Busia.

Alisema hayo alipohudhuria mazishi eneo la Butula.

You can share this post!

Ugavi wa mali ya Bilionea Tob Cohen wasimamishwa na mahakama

Kiraitu aambia watu wa Gema wasahau urais

T L