Tabitha aidhinishwa na wazee kuwania wadhifa wa seneta

Tabitha aidhinishwa na wazee kuwania wadhifa wa seneta

Na MACHARIA MWANGI

BARAZA la wazee Kaunti ya Nakuru limemwidhimisha Mkurugenzi Mkuu wa Keroche Breweries, Bi Tabitha Karanja, kuwania kiti cha Useneta kaunti hiyo.

Meya wa zamani wa kaunti hiyo, Bw Benson Mwangi aliongoza sherehe hiyo Jumatatu, akisema Bi Karanja ni mchapa kazi na ndiye anayefaa.

You can share this post!

Kagwe awaharibia Wakenya Krismasi

TAHARIRI: Agizo kuhusu chanjo ya Covid-19 litaathiri uchumi...

T L