Kavindu aapishwa rasmi kuwa Seneta wa Machakos

Na CHARLES WASONGA BI Agnes Kavindu Muthama, Jumanne aliapishwa rasmi kuwa Seneta wa Machakos katika hafla fupi iliyoongozwa na Spika wa...

Chama cha Ruto chaaibishwa uchaguzini Machakos

Na PIUS MAUNDU USHINDI wa Bi Agnes Kavindu Muthama kwenye uchaguzi wa useneta, Machakos Ijumaa umechukuliwa na wafuasi wa chama cha...

Mutua Katuku aondolewa kwenye uwaniaji useneta Machakos

Na SAMMY WAWERU CHAMA cha Maendeleo Chap Chap kimemwondoa mgombea wake Bw Mutua Katuku katika uchaguzi mdogo ujao wa useneta Kaunti ya...

Kesi ya kumpinga Kavindu kuanza leo

Na KITAVI MUTUA MAHAKAMA Kuu ya Machakos Jumatatu inatarajiwa kuanza kusikiza kesi inayolenga kumzuia mgombeaji wa Wiper katika uchaguzi...

Chama cha ODM chaunga mgombea wa Wiper katika uchaguzi mdogo Machakos

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha ODM kimetangaza rasmi kuwa kinaunga mkono mgombea wa Wiper katika uchaguzi mdogo wa useneta wa Machakos...

Muthama, mkewe wa zamani waanza kuraruana kisiasa

Na WAANDISHI WETU ALIYEKUWA Seneta wa Machakos, Johnstone Muthama na mkewe wa zamani Agnes Kavindu, walijibizana wakati kampeni za...