Kang’ata adai baadhi ya magavana wamehonga maseneta wapinge mfumo wa ugavi wa pesa

Na MWANGI MUIRURI MNADHIMU - kiranja wa wengi - katika bunge la Seneti Irungu Kang’ata amesema kuwa hana uhakika wa suluhu la ufadhili...

Fyata ulimi, Uhuru amuonya Kang’ata

Na MWANGI MUIRURI RAIS Uhuru Kenyatta Jumapili aliripotiwa kumuonya Kiranja wa Wengi katika Seneti, Irungu Kang’ata dhidi ya kutumia...

Seneti yapendekeza kamati ya wanachama 11 kuchunguza hoja ya kutimuliwa Waiguru

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti limependekeza kubuniwe kamati maalum ya wanachama 11 kuchunguza madai ya madiwani waliopitisha hoja...

Kang’ata ashikilia msimamo wa Jubilee kumwondoa Kindiki hauyumbishwi

Na CHARLES WASONGA KIRANJA wa wengi katika Seneti Irungu Kang’ata amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya maseneta na wabunge kwamba hoja...